Sifa Lyrics

Ushuhuda Wa Uhuru by Henrick Mruma cover art

Henrick Mruma - Ushuhuda Wa Uhuru Lyrics

Artist:
Henrick Mruma

Lyrics

Niko chini ya rehema
Na sian tena hukumu
Damu yake huyo mwana
Imeniweka huru
Niko chini ya rehema
Na sian tena hukumu
Damu yake huyu Yesu
Imeniweka huru


Nimeijua kweli nayo
Imeniweka huru
Nimeijua kweli nayo
Imeniweka huru
Mwana akiniweka huru
Nakuwa huru kwelikweli
Mwana akiniweka huru
Nakuwa huru kwelikweli
Nashuhudia uhuru
Nashuhudia uhuru
Nashuhudia uhuru
Nashuhudia uhuru


Nilifungwa muda mrefu
Nilikosa tumaini
Nikashindwa kuendelea
Sasa naishi kwa ushindi
Bwana amenifungua
Nina hakika ya uhuru
Nashusudia uhuru wangu
Naimba Halleluya
Nashusudia uhuru wangu
Naimba Halleluya


Halleluya, Halleluya
Halleluya, Halleluya
(Wewe ni jabali langu)
Halleluya, Halleluya
Halleluya, Halleluya
(Nina ushuhuda wa uhuru)
Halleluya, Halleluya
(Ndio maana ninaimba wimbo mpya)
Halleluya (ninaimba)
Halleluya, Halleluya
Halleluya (ninaimba)
Halleluya (bwana wa mabwana)


Video