Lyrics
Kwenye shida,, Kwenye raha
Kwenye shibe,, Kwenye njaa
Nitaima Halleluya,Halleluya Halleluya
Kwenye shida, Kwenye raha
Kwenye shibe, Kwenye njaa
Nitaima Halleluya,Halleluya Halleluya
Kwenye shida, Kwenye raha
Kwenye shibe, Kwenye njaa
Nitaima Halleluya,Halleluya Halleluya
Kwenye shida Kwenye raha
Kwenye shibe Kwenye njaa
Nitaima Halleluya,Halleluya Halleluya
Sababu Najua yeye ni Mungu sitaacha kumsifu
Anasema tushukuru kwa Kila jambo
Ata kwa yale ambayo yana kasoro
Anasema tusifu kwa kila hali
Ata kwa wakati wa kupita jangwani
Sasa nimetambua anachotaka Mungu
Anatutaka sisi tumsifu tu
Anasema tumtwike Fadhaha zetu
Maana Yeye hushughulika na mambo Yetu
Na sisi tunashughulikia za kwake
? ?
Kwenye majira yote tutamsifu
Kwenye nyakati zote tutamsifu
Na kwenye hali zote tutamsifu
Na kwenye mambo yote tutamsifu
Halleluya Halleluya,ni wimbo wa majira yote
Halleluya Halleluya,ni wimbo wa majira yote
Halleluya Halleluya,ni wimbo wa majira yote
Halleluya Halleluya,ni wimbo wa majira yote
Halleluya nyakati zote
Halleluya nyakati zote
Halleluya majira yote
Halleluya kwenye dhoruba
Halleluya kwenye utulivu
Nitaimba Halleluya,Halleluya Halleluya
Halleluya nyakati zote
Halleluya nyakati zote
Halleluya majira yote
Halleluya kwenye dhoruba
Halleluya kwenye utulivu
Nitaimba Halleluya,Halleluya Halleluya
Halleluya nyakati zote
Halleluya nyakati zote
Halleluya majira yote
Halleluya kwenye dhoruba
Halleluya kwenye utulivu
Nitaimba Halleluya,Halleluya Halleluya
Halleluya nyakati zote
Halleluya nyakati zote
Halleluya majira yote
Halleluya kwenye dhoruba
Halleluya kwenye utulivu
Nitaimba Halleluya,Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya,,Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya,,Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya,,Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya,,Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya,,Halleluya Halleluya