Uwe Nguzo Lyrics
Christopher Mwahangila swahili
Chorus:
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Nisaidie
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Maishani Mwangu
Adui Wakija Wasiniweze
Simama Mbele Yangu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Simama Nitetee
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Uwe Nguzo Video
Uwe Nguzo Lyrics
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Adui Wakija Wasiniweze
Uwe Nguzo Ya Moto Maishani Mwangu Mungu
Adui Wakija Wasiniweze
Wamefungua Vinywa Lengo Wanimeze
Naomba Mungu Nisaidie
Wamefungua Makucha Ili Wanirarue
Naomba Mungu Nipaganie
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Nisaidie
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Maishani Mwangu
Adui Wakija Wasiniweze
Mungu Ukiwa Upande Wangu
Hivi Ni Nani Atapigana Mbele Yangu
Yesu Ukiwa Upande Wangu
Hivi Ni Nani Atapambana Mbele Yangu
Mimi Nategemea Kwako Mungu
Mimi Naegemea Kwako Mungu
Mimi Natumaini Kwako Mungu
Mimi Natumaini Kwako Yesu
Nikingie Kifua,Uwe Nguzo Mbele Nisaidie Bwana Kupigana Nao
Nikingie Kifua,Uwe Nguzo Mbele Nisaidie Bwana Kupambana Nao
Uwe Nguzo
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Nisaidie
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Maishani Mwangu
Adui Wakija Wasiniweze
Simama Mbele Yangu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Simama Nitetee
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Wewe Mungu Unaweza
Yesu Unaweza
Mungu Unaweza
Wewe Baba Unaweza
Mungu Unaweza
Yesu Unaweza
Kupasawasisha Mahali Palipokwaruza
Yesu Unaweza
Mungu Unaweza
Kuyavunjavunja Mapingo Ya adui Zangu
Mungu Unaweza
Yesu Unaweza
Imani Yangu Mungu Ni Kwako
Msaada wangu Mungu Ni Kwako
Sina Mahali Kwengine Pa Kukimbilia
Ila Ni Kwako Mungu
Ila Ni Kwako Mungu
Sina Mahali Pengine Pa Kutegemea
Ila Ni Kwako Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Kwangu
Ee ee Baba
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Nisaidie
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Maishani Mwangu
Adui Wakija Wasiniweze
Simama Mbele Yangu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu
Simama Nitetee
Adui Wakija Wasiniweze
Bila Wewe Siwezi Mungu
Uwe Nguzo Ya Moto Mbele Yangu