Christopher Mwahangila - Nguzo Ya Moto Lyrics
Lyrics
Uwe nguzo ya moto mbele yangu Adui wakija wasiniweze Uwe nguzo ya moto maishani mwangu mungu Adui wakija wasiniweze Wamefungua vinywa Lengo wanimeze Naomba mungu nisaidie Wamefungua makucha Ili wanirarue Naomba mungu nipiganie Uwe nguzo ya moto mbele yangu mungu Adui wakija wasiniweze Uwe nguzo ya moto maishani mwangu Yesu
Uwe nguzo (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze) Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Maishani mwangu (Adui wakija wasiniweze) Simama mbele yangu mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Simama nitetee (Adui wakija wasiniweze) Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)
Mungu ukiwa upande wangu Hivi ni nani atasimama mbele yangu Yesu ukiwa upande wangu Hivi ni nani atapambana mbele yangu Mimi nategemea kwako mungu Mimi naegemea kwako mungu Mimi natumaini kwako mungu Mimi natumaini kwako Yesu Nikingie kifua Uwe nguzo mbele Nisaidie bwana Kupigana nao Nikingie kifua Uwe nguzo mbele Nisaidie bwana Kupigana nao
Uwe nguzo (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze) Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Maishani mwangu (Adui wakija wasiniweze) Simama mbele yangu mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Simama nitetee (Adui wakija wasiniweze) Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)
Wewe mungu unaweza Yesu unaweza Mungu unaweza Wewe Baba unaweza Mungu unaweza Yesu unaweza Kupasawazisha mahali palipoparuza Yesu unaweza Mungu unaweza Kuyavunja vunja mapingo ya adui zangu Mungu unaweza Yesu unaweza Imani yangu mungu ni kwako Msaada wangu mungu ni kwako Sina mahali pengine pa kukimbilia Ila ni kwako mungu Ila ni kwako mungu Sina mahali pengine pa kutegemea Ila ni kwako mungu Uwe nguzo ya moto kwangu Eeh eeh Baba (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze) Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Maishani mwangu (Adui wakija wasiniweze) Simama mbele yangu mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Simama nitetee (Adui wakija wasiniweze) Bila wewe siwezi mungu (Uwe nguzo ya moto mbele yangu) Nisaidie Yesu (Adui wakija wasiniweze)
Video
Christopher Mwahangila - Nguzo Ya Moto (Official Music Lyrics)