Lyrics
(Verse 1)
Nakutazama wewe tu
Ndiye mwenye kunitoa kwenye hili
Nakutazama wewe tu, Bwana
Nakutazama wewe tu
Ndiye mwenye kunitoa kwenye hili
Nakutazama wewe tu, Yesu
(Chorus)
Nakutazama wewe tu
Ndiye mwenye kuniponya na hili
Nakutazama wewe tu, Bwana
(Nakutazama wewe tu)
(Ndiye mwenye kunitoa kwenye hili)
(Nakutazama wewe tu, Bwana)
(Verse 2)
Katika hili, sioni mtu wa kumwangukia
Umebaki wewe, Yesu, peke yako
Katika hili, sioni mtu wa kunisaidia
Umebaki wewe, Mungu, peke yako
(Bridge)
Simama na mimi, Bwana
Simama na mimi, Yesu
Simama na mimi, Bwana
Simama na mimi, Mungu
Simama na mimi, Baba
Simama na mimi, Bwana
(Chorus)
Nakutazama wewe tu
Ndiye mwenye kunitoa kwenye hili
Nakutazama wewe tu, Yesu
Nakutazama wewe tu, Bwana
Nakutazama wewe tu
Ndiye mwenye kunitoa kwenye hili
Nakutazama wewe tu, Mungu
(Outro)
Umebaki peke yako
Peke yako
Umebaki peke yako, Mungu
Umebaki peke yako
Peke yako
Umebaki peke yako, Yesu