Sifa Lyrics

Karibu Roho by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Karibu Roho Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Karibu roho, mtakatifu tawala
Karibu roho, mtakatifu tawala


Tuko hapa twakuita 
Wewe Mungu mtakatifu
Ndio sasa tumekubali
Karibu, karibu karibu


Ukatakase mioyo yetu, Eloi wee
Rudisha bubujiko mioyoni
Tupe kutambua neno la Mungu, Eloi 
Karibu ooh, tuko tayari


Karibu roho, mtakatifu tawala
Karibu roho, mtakatifu tawala (Ooh karibu roho)
Karibu roho, mtakatifu tawala
Karibu roho, mtakatifu tawala 


Vipawa vyote gharama zote
Tuko hapa tukingoja hatuendi
Utujaze ujasiri 
Karibu, karibu karibu


Palipo vita utujulishe habari mapema
Maana siri zote unazijia sana
Hakuna kilichofichika kwako roho
Karibu, karibu karibu


Karibu roho, mtakatifu tawala
Karibu roho, mtakatifu tawala 
Karibu roho, mtakatifu tawala
Karibu roho, mtakatifu tawala 


Aah tufundishe kuomba
Tufundishe kutembea katika njia sawa
Tuongoze safarini, tujaze nguvu zako
Wewe rafiki na msaada wa karibu


Tutakase mioyo yetu 
Tukumbushe yale yanayopasa wewe Bwana
Wewe mtendaji mkuu wa mambo ya rohoni
Tujaze nguvu zako usituache njiani
Tembea nasi roho wa Mungu
Tembea nasi siku zote
Gusa maisha yetu, uwe kila kitu kwetu
Tamalaki mtakatifu, tamalaki Mungu


Video