Sifa Lyrics

Anipenda by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Anipenda Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Kipaji kipaji, kipaji
Kipaji kipaji, kipaji
Kipaji kipaji, kipaji
Kipaji kipaji, kipaji


Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)


Nimeona Jesu, nimeona Jesu forever
Akiwa nayee, akiwa nayee


Ile stori nilikupa juzi nililemewa
Niliuza shamba yote wapi mali?
Sasa nimebaki nahesabu dari


Nimeona Jesu, nimeona Jesu forever
Nimeona Jesu, nimeona Jesu forever


Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)


Hata napendwa napendwa napendwa
Utukufu ni wake, oh yaa
Kazini kila muda..


Niko salama na yeye, salama
Niko salama na yeye, salama


Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)
Arututu, naona baraka (Anipenda)


Kipaji kipaji, kipaji
Kipaji kipaji, kipaji
Kipaji kipaji, kipaji
Kipaji kipaji, kipaji


Nimeona Jesu, nimeona Jesu
Nimeona Jesu, nimeona Jesu


Anipenda, anipenda 
Anipenda!


Video