Sifa Lyrics

Wakalale by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Wakalale Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale
Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale
Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Dunia, dunia haina huruma
Machozi unalia unapoteza bure
Hebu tazama wanaokusema 
Hawana kazi unaitesa bure bure


Ukitazama maendeleo yao
Umewazidi mbali unajisumbua bure, bure
Wewe subiri, subiri jua lizame
Vinywa vitoke usihangaike nao ooh


Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale
Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale
Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Safina safina ilipokamilika
Waliiona na bado hawakuamini
Wewe ni nani waamninishe haraka
Funga kufuli usishughulike nao


Ila ukisikia Nuhu tufungulie
Ujue sasa ameshakwisha tenda


Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale
Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Mamlaka uliyo nayo, ni makubwa kupita yao
Sasa machozi ya nini komesha komesha
Waleo wanaokorofisha kazini kwako aisee
Tuwape wiki au mwezi wataondoka bwana


Usiwatese waliokombolewa
Wana mihuri, mihuri ya mbingu
Wacha taratila, kusingizia uongo
Mungu akishuka tusilaumiane


Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale
Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Sema mama sema, maliza kabisa sema
Sema mama sema nitakaa kimya
Sema baba sema, chafua kabisa sema
Chafua sana sema, nitakaa kimya


Aah aah, eeh eeh
Eeh eeh, eeh eeh


Wacha wakalale, wakishasema wakale
Wacha wakalale alafu Mungu atawale


Video