Daddy Owen - Tazama Lyrics
Lyrics
Johntezz wapi machungwa Daddy Owen once again Mambo mapya Story ndio zao Baraka ndio zetu
Tazama tazama Adui yuazunguka Chunguza chunguza Adui yuazunguka Tazama eeh tazama aah Tazama tazama Tazama tazama Adui yuazunguka
Ukiona wingu lakusanyika Jua kwamba kuna gharika Ibilisi yuaja kutumaliza Kuharibu na kuchukua Mi nakusihi Umuamini Mungu mwenyezi Akuthamini Oh weh oooh Chungeni sana shetani ni mbaya Oh weh oooh Azunguka kama simba marara Oh weh oh weh Chungeni sana shetani ni mbaya Oh weh oh weh Azunguka kama simba marara
Tazama tazama Adui yuazunguka Chunguza chunguza Adui yuazunguka Tazama eeh tazama aah Tazama tazama Tazama tazama Adui yuazunguka
Video
DADDY OWEN - TAZAMA (Official Video)