Sifa Lyrics

Neema Yake by Daddy Owen cover art

Daddy Owen - Neema Yake Lyrics

Artist:
Daddy Owen

Lyrics

Jina lake la vuma la vuma 
Pokea baraka leo
Jina lake la vuma la vuma
Pokea baraka leo
Jina lake la vuma la vuma
Pokea baraka leo
Jina lake!
Pokea baraka leo


Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Kanitoa chini 
Kaniweka juu
Kanitoa chini 
Kaniweka juu


Kwenye shida unanitoa 
Weh ni Baba Ba
Dakitari wa Kiroho 
Weh ni Baba 
Bado mimi nakuamini 
Weh ni Baba Ba
Aaii umeniponya 
Baba
Fadhili zako kipekee 
Na sifa milele 
Baraka nipokee 
Weh ni Baba Ba
Kanitoa kwa mashida 
Na vita nimeshinda 
Kwa kweli wanipenda
Weh ni Baba Ba


Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Kanitoa chini 
Kaniweka juu
Kanitoa chini 
Kaniweka juu


Si eti kama mi sina dhambi 
Mi mwenye dhambi 
Si eti kama mimi msafi 
Si eti kwamba nastahili 
Mie sifahi 
Kuokolewa ni kwa imani 
Najua umelia sana
Sana!
Kuteseka sana
Sana! 
Mtazamie Baba 
Yeye anajibu
Najua umelia sana
Sana!
Kuteseka sana
Sana! 
Mtazamie Baba 
Yeye anajibu


Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Kanitoa chini 
Kaniweka juu
Kanitoa chini 
Kaniweka juu


Nipe moja!
Nipe mbili!
Nipe tano!
Nipe moja!
Nipe mbili!
Nipe tano!


Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Neema yake 
Inatosha Inatosha 
Kanitoa chini 
Kaniweka juu
Kanitoa chini 
Kaniweka juu


Video