Daddy Owen - Donjo Lyrics
Lyrics
Namuona na gari kubwa kuliko shida zake Namuona na wanawake (wanawake) Alisema hakuna mungu watu wajipange, anadhani ni nguvu zake Akigonjeka dakitari anatoka ng'ambo Akiboeka apo utaona mambo, maombi kwake ni kelele Ndio nimeona nikueleze
Ooh hashtag #Nebucchadnezzar Sauli pia atakueleza Nasema hashtag #Nebucchadnezzar Haijalishi yale umewezaa Yote ni vanity ooh ooh Vanity ooh, bila yesu ni vanity Ooh ooh Vanity
Namuona na sketi fupi kuliko miaka yake Anataka tumeze mate Alisema mmoja hawezi zima moto wake Ana wanaume wanane Haumpati kanisani ila ile siku ya harambee ya Asusu, Asusu eeh Asusu Haamini mungu yupo yeye husema atalishwa na matunda ya usupu usupu eeh usupuu
Usimdharau binadamu mwenzio, kuwa eti wewe unapesa, Mali na magari Haya yote ni ubatili, shukuru mungu kwa uhai Usijisifu sana na huu mwili, huu mwili ni chakula cha mchwa
Video
Daddy Owen - Donjo (Official video)