Sifa Lyrics

Majina by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Majina Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Nimeona majina makubwa
Kupita ya wengine
Ila katika laiyu yangu ilikuwa juu
Niliona magari mazuri ya dunia ipi
Ila katika laiyu langu ilikuwa juu


Nikaona yaliyo mafanikio, mimi baraka
Tena katika hizo, zangu zimekuwa 
Wacha nikueleze patano langu na Mungu
Napitishwa hapa ananipeleka juu


Ukiona ninapumua bado
Misuko suko ni kama zoezi
Sichanganyi na ripoti ya leo
Mchicha bamia sio Sukuma wiki 
Najizungusha nikingojea nyama


Bado sijakamilika, inayarishwa
Kidogo kidogo
Bado sijakamilika, inayarishwa
Kidogo kidogo


Ukiweza nihukumu, nikiwa na hali ngumu
Ila ungalijua ungekaa kimya mmmh
Alinipaka mafuta nimtawale
Nami nasubiri baraka zangu niketi enzini


Sawa nimezidi mikopo madeni ya kila duka
Au ni malazi kampuni yangu ya baadae
Ninabariki mwenzangu ona nimebarikiwa
Sina laana kwanini niwachukie eeh
Ninaombea wezangu wafanikiwe
Wajue wewe ndivyo tulivyo washindi


Wacha nikueleze patano langu na Mungu
Napitishwa hapa ananipeleka juu


Ukiona ninapumua bado
Misuko suko ni kama zoezi
Sichanganyi na ripoti ya leo
Mchicha bamia sio Sukuma wiki 
Najizungusha nikingojea nyama


Bado sijakamilika, inayarishwa
Kidogo kidogo
Bado sijakamilika, inayarishwa
Kidogo kidogo


Alinipaka mafuta nimtawale
Nami nasubiri baraka zangu niketi enzini
Alinipaka mafuta nimtawale
Nami nasubiri baraka zangu niketi enzini


Video