Sifa Lyrics

Yahweh by Ben Cyco cover art

Ben Cyco - Yahweh Lyrics

Artist:
Ben Cyco
Album:
Yahweh - Single
Official Release:
18 Feb 2022

Lyrics

Tarara tararara
Ah ni Cyco


Ninayoyapitia sio mambo mageni kwako
Wewe Bwana hakuna kinachokushangaza
Ninapodhani maisha yangu kwisha sasa nazama
Wanihifadhi ninapojikanganya


Ninayoyapitia sio mambo mageni kwako
Wewe Bwana hakuna kinachokushangaza
Ninapodhani maisha yangu kwisha sasa nazama
Wanihifadhi ninapojikanganya


Yahweh hakuna mwingine kama wewe
Yahweh umetukuka
Yahweh hakuna mwingine kama wewe
Yahweh umetukuka


Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe Yahweh


Maadui waliponizingira ulinipigania
Meza ukaniandalia
Kikombe changu sasa kinafurika
Wewe ni wa hakika, ndo maana ninakukimbilia


Wafungue macho wakuone, tena wakuseme
Kama ulivyonitendea
Wafungue macho wakuone, tena wakuseme
Kama ulivyonitendea


Yahweh hakuna mwingine kama wewe
Yahweh umetukuka
Yahweh hakuna mwingine kama wewe
Yahweh umetukuka


Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe Yahweh


Yahweh, Yahweh, Yahweh
Nani kama wewe
Yahweh, Yahweh, Yahweh
Nani kama wewe


Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe Yahweh


Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe
Hakuna kama wewe, kama wewe Yahweh


Video