Sifa Lyrics

Mungu wangu by Ashley Nassary cover art

Ashley Nassary - Mungu wangu Lyrics

Artist:
Ashley Nassary
Album:
Mungu wangu (feat. Ashley Nassary) - Single
Official Release:
31 Aug 2026

Lyrics

Chorus
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante


Verse 1
Moyo wangu umejaa shukrani
Kwa yale umetenda sikudhani
Kama ningeweza peke yangu Bwana
Umefanya mengi imebidi
Nirudi kwako Mungu wangu
Wewe uliyenipa kuyaweza yote
Sijaona kama wewe
Wewe, wewe, wewe
Asante
Sijaona kama wewe
Wewe, wewe, wewe
Asante


Chorus
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante


Verse 2
Umefanya machozi ya furaha yanitoke
Oh asante Yesu, asante
Umefanya, nipate nguvu mpya kama tai
Oh asante Yesu
Umefanya, adui zangu wangu kimbilia kwangu
Wewe una nguvu za kutisha
Asante
Sijaona kama wewe
Wewe, wewe, wewe
Asante


Bridge
Mwaminiifu kama wewe
Mwenye nguvu kama wewe
Wewe, wewe, asante
Umenifuta machozi yangu
Umeondoa aibu yangu
Wewe, wewe, Mungu wangu


Outro
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante
Mungu wangu, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante
Umefanya mengi, Mungu wangu
Baba yangu, Baba yangu
Asante, asante
Tuko radhi kwa huruma zako
Baba, Baba yangu
Kwa yale umetenda
Asante, asante
Asante, asante
Asante, asante
Asante, asante
Kwa yale umefanya
Kwa yale umetenda kwangu Bwana
Asante, asante
Furaha umenipa bure Bwana
Uzima umenipa Baba yangu
Asante, asante


Video