Sifa Lyrics

Baraka by Paul Clement + Victor Maestro cover art

Paul Clement + Victor Maestro - Baraka Lyrics

Artist:
Paul Clement + Victor Maestro

Lyrics

"Baraka" – Paul Clement ft. Victor Maestro (Live)


[Intro & Chants]


(Instrumental intro)
Wapi vigelegele!
Kasibina nayo yo! (Yo!)
Kasibina nayo yo! (Yo!)
Kasibina nayo yo! (Yo!)
Kasibina nayo yo! (Yo!)




[Chorus – Paul Clement & Choir]


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa baraka


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa baraka


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
(Huyu Yesu eeh)
Ananiongezea baraka
Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa baraka


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
(Huyu Yesu eeh)
Ananiongezea baraka
Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa baraka




[Verse 1 – Victor Maestro]


Amenijibu zaidi ya vile nilivyoomba
Nimemwomba kazi, amenipa na ndoa
Nimemwomba watoto, amenipa na gari
Huyu Yesu anazidi kunyeshea mvua ya baraka
Apambolinga, apambolinga, apambolinga Yesu ee yoyoyo




[Chorus – Victor Maestro & Choir]


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Ni Mungu, ni Mungu wa baraka


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Ni Mungu, ni Mungu wa baraka


Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Huyu ni Mungu, ni Mungu wa baraka


(Kasibina nayo yo - Yo!)




[Verse 2 – Paul Clement & Victor Maestro]


Yeye aliyeianzisha safari, ataimaliza yeye mwenyewe
Anajua kupenda, anajua kujali
Anaitwa Mwokozi Yesu, Eze Ebube


Yeye aliyeianzisha safari, ataimaliza yeye mwenyewe
Anajua kupenda, anajua kujali
Anaitwa Mwokozi Yesu, Eze Ebube




[Declarations & Praise – Call & Response]


Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Kanibariki shambani (Amenifanyia amani)
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Kanibariki shambani (Amenifanyia amani)
Amenipa na watoto (Amenifanyia amani)
Amenipa familia nzuri (Amenifanyia amani)
Amenibariki mjini (Amenifanyia amani)
Amenibariki nyumbani (Amenifanyia amani)
Amenipa na elimu (Amenifanyia amani)
Amenipa biashara nzuri (Amenifanyia amani)


Nikienda kushoto (Yupo)
Nikienda kulia (Yupo)
Nikienda mbele na nyuma
Kanizingira pande zote


Nikienda kushoto (Yupo)
Nikienda kulia (Yupo)
Nikienda mbele nyuma yo
Kanizingira pande zote




[Testimonies & Declarations]


Kanibariki shambani (Amenifanyia amani)
Amenibariki mjini (Amenifanyia amani)
Huyu Yesu amenibariki shambani (Amenifanyia amani)
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Amenipa familia nzuri (Amenifanyia amani)
Amenipa marafiki wazuri (Amenifanyia amani)


Huyu Yesu ameniinua (Amenifanyia amani)
Huyu Yesu amenipa jina jipya (Amenifanyia amani)
Amenitoa mavumbini na kuniweka juu (Amenifanyia amani)
Huyu Yesu amenifuta machozi (Amenifanyia amani)


Nikienda kushoto (Yupo)
Nikienda kulia (Yupo)
Nikienda mbele na nyuma
Kanizingira pande zote


Nikienda kushoto (Yupo)
Nikienda kulia (Yupo)
Nikienda juu chini ah
Kanizingira pande zote!




[Sebene / Praise Animation Chants]


Twende!
Sese, sese! (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Ozala kanoye leki (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Ozala nayo motonto (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Ozala kanomo santu (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Kasibina nayo yo! (Yo!)


Wapi vigelegele!
Pepele! Pepele! Pepele! Pepele!
Pepele! Pepele! Pepele! Pepele!


Sese, sese! (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Ozala mosantu nayo (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Sese, sese! (Se!)
Ozala kanomo santu (Se!)




[Thanksgiving Litany]


Amenifanyia ee (Amenifanyia amani)
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Kanibariki shambani (Amenifanyia amani)
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Huyu Yesu kanibariki shambani (Amenifanyia amani)
Kanibariki nyumbani (Amenifanyia amani)
Amenipa na watoto (Amenifanyia amani)
Amenipa familia nzuri (Amenifanyia amani)
Amenipa na huduma (Amenifanyia amani)
Watu wanabarikiwa (Amenifanyia amani)
Amenipa na neema (Amenifanyia amani)
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Amenifanyia amani (Amenifanyia amani)




[Outro]


Wapi vigelegele!
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Kanibariki shambani (Amenifanyia amani)
Kanibariki mjini (Amenifanyia amani)
Kanibariki shambani (Amenifanyia amani)


Nikienda kushoto (Yupo)
Nikienda kulia (Yupo)
Nikienda mbele na nyuma
Kanizingira pande zote


Wapi vigelegele!


Video