Anatengeneza Lyrics - Paul Clement

Paul Clement swahili

Buy/Download Audio

Anatengeneza Lyrics

Anatengeneza ushuhuda wako 
Umshinda adui kwa ushuhuda wako 
Anatengeneza ushuhuda wako 
Umshinda adui kwa ushuhuda wako 

Hilo ni neno lake Bwana 
Hilo ni neno 
Hilo ni neno 

Nguvu inajengwa 
Katika hayo unayopitia 
Hilo bonde la mauti halitakumeza 
Maana kwa imani umehesabiwa haki 

Anatengeneza ushuhuda wako 
Umshinda adui kwa ushuhuda wako 
Anatengeneza ushuhuda wako 
Umshinda adui kwa ushuhuda wako 

Anatengeneza bado 
Anatengeneza bado 
Ushindi upo ndani yako 
Ushindi upo ndani yako 

Iyelele Iyelele uuuh 
Iyelele Iyelele uuuh 
Iyelele Iyelele uuuh Anatengeneza Video