Sifa Lyrics

Anarudi Tena by Eunice Njeri cover art

Eunice Njeri - Anarudi Tena Lyrics

Artist:
Eunice Njeri

Lyrics

Kuna wenye waitae siku za mwisho mabaya kote 
Aliyeitwa kuwa shahidi kwa walio potea njia 
Kutumika kama chombo waone wajue 
Ni mwaminifu kwa ahadi alizoweka Yesu


Anarudi tena, anarudi tena 
Yesu anarudi tena 
Utukufu Haleluya tumbariki tumwinue 
Sifu mwana anarudi tena 


Alisema tusihofu yuaenda Yesu 
Na yeye anakoenda nyumbani atuandalia 
Wakati unapovaa asubuhi saa sita usiku 
Anarudi atufikishe kule 


Anarudi tena, anarudi tena 
Yesu anarudi tena 
Utukufu Haleluya tumbariki tumwinue 
Sifu mwana anarudi tena 


Yesu kristo anarudi mwanakondoo 
Baba mwana roho Yeye ndiye
Aja mawinguni na ukuu na enzi 
Sifu Bwana sifu (Bwanaa!)
Sifu Bwana sifu (Bwanaa!)
Sifu Bwana sifu (Bwanaa!)


Haleluya (haleluya)
Utukufu Haleluya tumbariki tumwinue 
Sifu mwana anarudi tena 


Kila siku najiandaa kwa sherehe za furaha

(Sifu mwana anarudi tena)
Kila siku najiandaa kumuona tena

(Sifu mwana anarudi tena)


Video