Tunakuabudu Lyrics

Lydia Cheryl Ali Mukhwana swahili

Chorus:
Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe
Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe
Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe

Tunakuabudu Video

Buy/Download Audio

Tunakuabudu Lyrics

Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe 
Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe
Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe

Wewe Mwanzilishi Wa Imani Yangu Baba Tunakuabudu Wewe 
Wewe Mwanzilishi Wa Imani Yetu Baba Tunakuabudu Wewe 
Uaminifu Wako Umetutenda Makuu Baba Tunakuabudu Wewe 

Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe 
Tunakuinua Wewe Tunakuabudu wewe

Nikitazama Umbali Huu Ulionileta Ee Bwana Ee Mungu Tunakuabudu Wewe 
Unayetoa Mavumbini Na Kuketisha Na Wafalme Ee Bwana Tunakuabudu Wewe

Singekuwa Wewe Bwana Kuwa Upande Wangu Mtetezi Wangu Tunakuabudu Wewe
Ulituumba Tukuinue Tunakuinua Wewe Baba Wa upendo Tunakuabudu Wewe
Wewe Uliyenihesabia Haki Tunakuinua Wewe Baba Mungu Wangu Tunakuabudu Wewe
Wewe Uliyetuhesabia Miaka Tunakuinua Wewe Ukatupa Uzima Tunakuabudu Wewe
Tusipokuabudu Wewe Ni Nani Tunakuinua Wewe Mungu Wa Mapendo Tunakuabudu Wewe
Kimbilio Letu Tumaini Letu Tunakuinua Wewe Mtetezi Wetu Wa Karibu Tunakuabudu Wewe
Mchungaji Wetu Kimbilio Letu Tunakuabudu Wewe Na Uzima Wetu Tunakuabudu Wewe