Sifa Lyrics

Watakusema by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Watakusema Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Watakusema, wanadamu
Watakusema


(Still Alive)


Yesu akatenda miujiza
Akatembea juu ya maji
Na bado wakamsema


Aliponya Batimayo
Akafufua Lazaro
Na bado wakamsema


Kama walimsaliti Yesu, wewe ni nani?
Bado watanisema
Kama walimsaliti Yesu, wewe ni nani?
Bado watanisema


Bado watakusema, bado watanisena
Bado watanisema, bado watanisena


Unakula nao, unafanya kazi nao
Na bado wanakusema
Ukifanya hili, ukifanya lile
Na bado wanakusema


Sasa tenda mema uenda zako
Tenda mema, Mola atakulipa
Tenda mema ndugu, tenda mema kaka
Mola atakulipa


Bado watanisena, bado watanisena
Mazuri mabaya watakusema
Bado watanisena, bado watanisena
Tenda mema nenda zako


Tenda mema uenda zako
Yuko Mola, Eeeh
Atakulipa, atakulipa


Bado watanisema wewe, bado watanisema
Bado watanisema, bado watanisema


Video