Sifa Lyrics

Nimekupata Yesu (Natamani Nitembee) by Ambassadors of Christ Choir cover art

Ambassadors of Christ Choir - Nimekupata Yesu (Natamani Nitembee) Lyrics

Artist:
Ambassadors of Christ Choir
Album:
Siku Za Kilio Zimepita
Official Release:
01 Jan 2013

Lyrics

Verse 1


Nimekupata yesu, nimepata yote,
Nimekupata bwana, sitahitaji tena aah,
Wewe ndiwe hitaji langu,
Ngome yangu na mwamba
tengemeo langu katika hali
jaza moyo wangu, upendo nikupende,
U rafiki wa kweli, nifundishe kupenda aah,bwana,
maana upendo wako, ndio pekee waweza,
Kunifanya kiumbe kipya nikakufuate


Chorus


Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu pekee ulio bora


Verse 2


Wapenzi wa kulia, wengi ni wadanganyifu,
niwapo katika hali zuri tuko wote eeh,
lakini katika matatizo, wote wanikimbia,
wewe nimekupata nitakushikilia


Chorus


Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
Upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
Upendo uletao hekima, busara na amani,
Upendo wakimbingu pekee ulio bora


Verse 3


Nakukaribisha bwana, uyatawale maisha, yetu ya kila siku,
Tufundishe kupanda aah, mbegu Za upendo wa dhati,
mwisho wa nyakati,tuweze kuvuna matunda ya ukamili
kamilisha upendo, mungu aliohadaa
Dumisha ndoa zao furaha itawale,
Bwana, pembeni za unyonge na udhaifu wao
familia iwe mwanga wa mbingu ku


Outro


Natamani nitembee katika upendo wa bwana,
upendo ule wa dhati, upendo husiobagua,
upendo uletao hekima, busara na amani,
upendo wakimbingu pekee ulio bora


Credits & Song Information

Performed By
Ambassadors of Christ Choir
Community reviewed · Apple Music
Release Date
2013-01-01
Community reviewed · Apple Music

Add song information · Add a supporting source

Video

Meaning & Inspiration

Katika rekodi hii, Ambassadors of Christ Choir wanaelekeza ujumbe kwenye utoshelevu unaopatikana kwa Yesu na hamu ya kuishi kwa upendo wa Mungu. Wimbo unaunganisha ushuhuda wa imani na ombi la tabia yenye upendo, hekima na amani, hivyo msisitizo wake ni maisha yanayobadilishwa na imani.