Kazi Ya Mikono Yako Lyrics - Christ Ambassadors
Christ Ambassadors swahili
Kazi Ya Mikono Yako Lyrics
Kazi Ya Mikono Yako Ni Ya Ajabu Sana
Inatufanya Tuimbe Tusifu ina Lako
Tusifu jina lako maana jina lako li karibu nasi ili lituokoe
Aaleluya msifu mungu mweza yotee woote wamsifu wote wamtukuzee
Aaleluya msifu mungu mweza yotee woote wamsifu wote wamtukuzee
.....
Aaleluya msifu mungu mweza yotee woote wamsifu wote wamtukuzee
Aaleluya msifu mungu mweza yotee woote wamsifu wote wamtukuzee
Nitawakumbusha watu maajabu ya mungu na niuimbe wokovu
Tuliopewa bure kwakuwa ahadi zako niamini lengo lako kuokoa
Aaleluya msifu mungu mweza yotee woote wamsifu wote wamtukuzee X 3
Woote wamsifu wote wamtukuzeee