Kwa Nini Lyrics

Christ Ambassadors kuabudu

Ni kwa nini umeyaruhusu
Eeh Mungu mwenyezi
Yatusononeshe eeh moyon
Kwa nini unaruhusuu
Ona haya machozi
Tazama tunavyoliiia
Twajiulizaa sana Bwana
Ni kwa nini uliyaruhusu


Kwa Nini Video