Sifa Lyrics

Tazama by Ali Mukhwana cover art

Ali Mukhwana - Tazama Lyrics

Artist:
Ali Mukhwana

Lyrics

Kwako mimi natazamia
Kwako mimi natazama
Kwako mimi natazamia
Kwako mimi natazama


Sheria yako, Imo moyoni mwangu
Kuyafanya mapenzi yako yote 
Sheria yako, Imo moyoni mwangu
Kuyafanya mapenzi yako yote 


Unitumie jinsi upendavyo baba
Unitawale jinsi utakavyo
Unitumie jinsi upendavyo baba
Unitawale jinsi utakavyo


Kwako mimi natazamia
Kwako mimi natazama
Kwako mimi natazamia
Kwako mimi natazama


Furaha yangu siwezi ficha bwana
Kwa yale yote umenitendea
Furaha yangu siwezi ficha bwana
Kwa yale yote umenitendea


Sheria yako, Imo moyoni mwangu
Kuyafanya mapenzi yako yote 
Sheria yako, Imo moyoni mwangu
Kuyafanya mapenzi yako yote 


Kwako mimi natazamia
Kwako mimi natazama
Kwako mimi natazamia
Kwako mimi natazama 


Uliye ndiye, ndiwe
Wewe uliye neno langu la mwisho
Ni wewe,  wewe uliye neno langu 


Uliye ndiye, ndiwe
Wewe uliye neno langu la mwisho
Ni wewe,  wewe uliye neno langu 


Ni wewe, ni wewe bwana


Video