Malak Mbise

Uliniona Toka Mbali Lyrics

Uliniona toka mbali 
Ukaniita toka mbali 
Nami nimekuja kwako Yesu kukusifu 

Uliniona toka mbali 
Ukaniita toka mbali 
Nami leo nimekuja mbele zako Yahweh kukusifu 

Uliniona toka mbali 
Ukaniita toka mbali 
Nami nimekuja kwako Yesu kukusifu 

Maana hakuna kama wewe 

Wewe ni Mungu, waweza yote 
Unastahili Yesu 
Wewe ni Mungu, waweza yote 
Unastahili Yesu 

Usifiwe Bwana, usifiwe milele 
Nalibariki jina lako Yesu 

Nalibariki jina lako Yesu 
Nalibariki jina lako Yesu 


Uliniona Toka Mbali Video