Sifa Lyrics

Heri Siku Moja by Reuben Kigame cover art

Reuben Kigame - Heri Siku Moja Lyrics

Artist:
Reuben Kigame

Lyrics

Ewe Mungu wa majeshi, ninapenda kukaa nawe,
maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauku kubwa

Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe

Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
Moyo na mwili wangu Bwana viakulilia Mungu wangu,
heri nikose viote Baba, lakini nikupate wewe

Video