Dr Ipyana - Sina Shaka/ Nakungoja / I will wait Lyrics

Sina Shaka/ Nakungoja / I will wait Lyrics

Nakuamini 
wala sina shaka nawe
nakungoja kwa zaburi
nakungoja mungu wala sina shaka nawe

Nakuamini 
huwezi kuniacha bwana
wala sina shaka nawe
bwana mimi nakungoja
nakungoja mungu wala sina shaka nawe

Njoo hima 
Njoo hima bwana
Njoo hima 
Njoo hima usichelewe
Njoo hima 
Njoo hima bwana
siwezi bila wewe
Njoo hima usichelewe

Nakuamini 
wala sina shaka nawe
nakungoja 
nakungoja mungu wala sina shaka nawe

Nakuamini 
wala sina shaka nawe
nakungoja 
nakungoja mungu wala sina shaka nawe

Njoo hima 
Njoo hima bwana
Njoo hima 
Njoo hima usichelewe
Njoo hima 
Njoo hima bwana

nakuamini 
wala sina shaka nawe
nakungoja 
nakungoja mungu wala sina shaka nawe

nakuamini 
wala sina shaka nawe
nakungoja 
nakungoja mungu wala sina shaka nawe

Governant keeping God
begining and the end 
your promises are sure always
so we wait


Sina Shaka/ Nakungoja / I will wait Video

Sina Shaka/ Nakungoja / I will wait Lyrics -  Dr Ipyana

Dr Ipyana Songs

Related Songs