Sifa Lyrics

MWANGALIE SHUJAA by Boaz Danken cover art

Boaz Danken - MWANGALIE SHUJAA Lyrics

Artist:
Boaz Danken

Lyrics

Mwangalie shujaa
ametoka mmbinguni
kuja duniani
kuokoa wanadamu
yesu
Amebeba dhambi zote
za ulimwengu
begani mwake
mfalme
alidharau aibu
kaendea msalaba
kwa ujasiri mkuu


Mwangalie shujaa
ametoka mmbinguni
kuja duniani
kuokoa wanadamu
yesu
Amebeba dhambi zote
za ulimwengu
begani mwake
mfalme
alidharau aibu
kaendea msalaba
kwa ujasiri mkuu


nyosha mkono umwambie bwana
nani kama wewe
bwanaa bwanaa
nani kama wewe
bwana wa majeshi


nani kama wewe
bwanaa bwanaa
nani kama wewe
bwana wa majeshi


Mwangalie shujaa
ameshuka kuzimu
kanyanganya ufunguo
wa mauti na kuzimu
yesu
amefuta hati zote
za mashtaka
zilizotuhukumu
mfalme
katufanya makuhani 
watoto wa mfalme
tunatawala milele


Mwangalie shujaa
ameshuka kuzimu
kanyanganya ufunguo
wa mauti na kuzimu
yesu
amefuta hati zote
za mashtaka
zilizotuhukumu
mfalme
katufanya makuhani 
watoto wa mfalme
tunatawala milele


nani kama wewe
bwanaa bwanaa
nani kama wewe
bwana wa majeshi


nani kama wewe
bwanaa bwanaa
nani kama wewe
bwana wa majeshi


mwanakandoo wa mungu
uliyechinjwa unastahili
ukamnunulia mungu watu wake
kwa damu
na sisi ni kanisa matokeo ya msalaba
twakuabudu


mwanakandoo wa mungu
uliyechinjwa unastahili
ukamnunulia mungu watu wake
kwa damu
na sisi ni kanisa matokeo ya msalaba
twakuabudu


mwanakandoo wa mungu
uliyechinjwa unastahili
ukamnunulia mungu watu wake
kwa damu
na sisi ni kanisa matokeo ya msalaba
twakuabudu


Video