PRAISE TEAM - BWANA WA MABWANA Lyrics

BWANA WA MABWANA Lyrics

Bwana wa mabwana
Yesu ndiye bwana, wa mabwana

Bwana wa mabwana
Yesu ndiye bwana, wa mabwana

Bwana wa mabwana
Yesu ndiye bwana, wa mabwana

Bwana wa mabwana
Yesu ndiye bwana, wa mabwana

Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana
huyo mungu apewe sifa
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana
jina lako liinuliwe
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana

jamani mpeni sifa
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana
maana yeye anastahili
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana
aliacha enzi kwa ajili yako
Bwana wa mabwana
atarudi mara ya pili
Bwana wa mabwana
jamani mpeni sifa
Bwana wa mabwana

Huyu yesu anaweza
anaweza
anatosha
anatosha
jina lake
Bwana wa mabwana

bwana yesu asemehea
asemahea
Bwana wa mabwana
Bwana wa mabwana

jina lake Ebenezer
amefanya mema kwangu
jina lake Ebenezer
atafanya mema kwako

jina lake elshadai
amefanya mema kwangu
jina lake elshadai
atafanya mema kwako


BWANA WA MABWANA Video

PRAISE TEAM Songs

Related Songs