Sifa Lyrics

Rafiki Mwema by Essence of Worship cover art

Essence of Worship - Rafiki Mwema Lyrics

Artist:
Essence of Worship

Lyrics

Yesu rafiki mwema


Yesu rafiki mwema


Yesu rafiki mwema


Yesu rafiki mwema


Yesu rafiki mwema


Yesu rafiki mwema


Yesu rafiki mwema


Hapana rafiki aliye mwema kama yesu


Hapana rafiki aliye mwema kama yesu


Hapana rafiki aliye mwema kama yeye ye yesu


Hapana rafiki aliye mwema kama yesu


yesu ni rafiki wa kweli tena ni mwaminifu bwana


ni wa haki siku sote


yesu ni rafiki wa kweli tena ni mwaminifu bwana


ni wa haki siku sote


huyu ni yesu 


yeye anatupenda, anatujali,anatuponya ni mwaminifu


ni wa haki


uu uu


Ee ee


nimetambua kuwa sina rafiki mwengine kama yesu


aa aa


na ata angekuwepo hangefikia uamaninifu wako


oo oo


umenichagua mimi nisiyestahili aa


umeniheshimisha umeniketisha na wakuu waone


kwako napata vyote amani tele furaha ya milele


hakuna rafiki kama yesu oo yeye ye


kwako napata vyote amani tele furaha ya milele


hakuna rafiki kama yesu oo yeye ye


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


sina mwengine


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


rafiki mwema


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


sina mwengine


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


wa kutosheleza 


ee Yesu 


sijaona rafiki kama yesu


maishani mwangu


yeye ni mpenzi wa kweli


yeye ni rafiki wa kweli


ananipenda bila gharama


ananijali bila gharama


ananikumbatia


ananifariji daima


yeye ni rafiki wa kweli


yeye ni baba wa wababa


yeye ni baba wa wachane


yeye ni mume


yeye ni baba anaweza


anaokoa,anafariji,anaponya


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


sina mwengine


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


sina mwengine


wa kutosheleza 


ee Yesu 


nakushukuru mungu sababu ya upendo wako


ulinipenda sana nikiwa bado adui wako


na nilikuwa bado sishiki neno lako


na ukanipenda kutoa uhai wako


Adhabu ya mauti yangu ilikuwa juu yako


tena kupata mateso mengi na masumbuko 


Najua huzuni nyingi uyauaye sikitiko 


Kisa na maana nifanyike mwana wako Yesu


Umenipa neema, Umenipa uzima 


Umenitenda wema sina hata la kusema 


Maombi we wajibu we tabibu wa karibu 


Hujawai kuniwacha kwenye shida wala taabu...


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Ee Yesu 


ninakupenda oo Yesu


ee Yesu 


wa kutosheleza 


ee Yesu 


Video