Uko Hapa

Uko Hapa Lyrics

Uwepo wako uko mahali hapa 
Na nguvu zako Yesu 
Ziko mahali hapa 
Unijaze nguvu zako ooh nakuabu  .

Uko hapa, uko hapa 
Twatuza jina lako 
Twakuabudu uko hapa  .

Uko hapa, uko hapa 
Twatuza jina lako 
Twakuabudu uko hapa  .

Twakuinua twakuinua 
Twatuza jina lako 
Twakuinua uko hapa  .

Twakupenda twakupenda 
Twatuza jina lako 
Twakupenda uko hapa  .

Oooh oooh ooooh 
Oooh oooh oooooh  .

... .

Uko hapa uko hapa Mungu
Tunaouona uwepo wako
Uko hapa kubadilisha
Uko hapa kuponya
Uko hapa kutenda mambo makuu
Ewe Bwana uko hapa .

Uko hapa, uko hapa 
Twatuza jina lako 
Twakuabudu uko hapa 


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Uko Hapa:

0 Comments/Reviews