Sifa Lyrics

Sema Na Moyo Wangu by Miriam Lukindo cover art

Miriam Lukindo - Sema Na Moyo Wangu Lyrics

Artist:
Miriam Lukindo

Lyrics

Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Baba nakuomba sasa 


Wewe useme nami 


Useme na moyo wangu Baba 


useme nami 


Jehovah nimekuja kwako 


Sasa Baba useme nami 


Oooh useme na moyo wangu 


ooh useme nami 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Baba sioni njia nataka useme nami 


Eeh Baba useme na moyo sasa useme nami 


Useme na moyo wangu Baba useme nami 


Useme ndani ya moyo wangu Baba wewe useme nami 


Useme na moyo wangu useme nami 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Sema na sema na 


Sema na moyo wangu 


Video