John Lisu

Roho Mtakatifu Lyrics

Roho mtakatifu twakuhitaji uje 
Kama upepo mwingi utuvumie 
Kama moto mkali twakuhitaji uje 

Roho mtakatifu twakuhitaji uje 
Kama upepo mwingi utuvumie 
Kama moto mkali twakuhitaji uje 

Uweponi mwaka Bwana natamani
Nipande nikae nawa Bwana 
Uweponi mwaka Bwana natamani
Nipande nikae nawa Bwana 
Uweponi mwaka Bwana natamani
Nipande nikae nawa Bwana 

Napenda nikae nawe Bwana
Napenda nikae nawe Bwana


Roho Mtakatifu Video

Source: Roho Mtakatifu Lyrics - John Lisu