Sifa Lyrics

Wewe Ndiwe Bwana by Rev Kathy Kiuna cover art

Rev Kathy Kiuna - Wewe Ndiwe Bwana Lyrics

Artist:
Rev Kathy Kiuna

Lyrics

Wewe ndiwe Bwana 


Alpha na Omega 


Maisha yangu nakutolea wewe


Wewe ndiwe Bwana 


Alpha na Omega 


Maisha yangu nakutolea wewe


Wewe ndiwe Bwana wa Mabwana 


Muumba vyote nakuinamia 


Wewe ndiwe Bwana wa Mabwana 


Muumba vyote nakuinamia 


Wewe ndiwe Bwana 


Alpha na Omega 


Maisha yangu nakutolea wewe


Wewe ndiwe Bwana wa Mabwana 


Muumba vyote nakuinamia 


Wewe ndiwe Bwana wa Mabwana 


Muumba vyote nakuinamia 


Wewe ndiwe Bwana 


Alpha na Omega 


Maisha yangu nakutolea wewe


Wewe ndiwe Bwana wa Mabwana 


Pokea utukufu 


Wewe ndiwew Bwana wa majeshi 


Pokea shukrani 


Wewe ndiwe Bwana wa Mabwana 


Pokea utukufu 


Wewe ndiwew Bwana wa majeshi 


Pokea shukrani 


Allelulia Allelulia 


Alleluia Alleluia 


Alle Alleluia 


Video