Rev Kathy Kiuna

Tunavua Taji Lyrics

Tunazunguka kiti chenye enzi 
Tukiliinua Jina lako
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2

Tukisema wewe ndiwe Baba
Tukisema wewe ndiwe Masia
Tukisema Roho Mtakatifu
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2

Pokea sifa Baba wa mbinguni
Jina lako litukuzwe
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2

Masia  Masia 
Tunavua taji zi vichwani
Tukiona utukufu wako x2



Tunavua Taji Video

Source: Tunavua Taji Lyrics - Rev Kathy Kiuna