Gloria Muliro - Mpango wa Kando Lyrics

Mpango wa Kando Lyrics

Kando ooh, kando ooh Wacha.
Tulipojuana mi nawe, ulinipenda sana, uliniamini sana,
Ukanitafuta sana. Nikashakuomba ukaniitisha ulichotaka
Wewe ieh, wewe eeh.

Mpango wa kandoo ooh, mpango wa kandoo ooh, wacha.
Mpango wa kandoo ooh, mpango wa kandoo ooh, wacha.

*Taka jalani ulinimiminia, eti mbona ukitimize.
Nitakumikia zaidi, eeh, nikakupa kazi.
Ukaniomba mtoto, nikakupa watoto.
Mimi Mungu wako, nikakuponya magonjwa yote.
Mimi eeh mwaminifu sana.

Mpango wa kandoo ooh, mpango wa kandoo ooh, wacha.
Mpango wa kandoo ooh, mpango wa kandoo ooh, wacha.

Mbona hukeshi tena, sababu ya mume.
Mbona hufungi tena, njaa yanilemea.
Ibada yangu wachelewa, Baba niko busy.
Nakuona kwa waganga, niliona umechelewa.

Mbona hukeshi tena, sababu ya mke.
Mbona hufungi tena, shida zimekwisha.
Ibada wachelewa, Baba ni watoto.
Nakuona kwa waganga, niliona umenyamaza.

Mpango wa kandoo ooh, mpango wa kandoo ooh, wacha.
Mpango wa kandoo ooh, mpango wa kandoo ooh, wacha.

Ulianza vitina, ukaanza chonganisha, ukaingiza na chuki.
Ukaanza ulevi, mama pima, ukasahau jamii.

Nisamehe, nisamehe, Baba nisamehe
Nisamehe, nisamehe, Baba nisamehe.

Ulikosa mwelekeo, lakini umetubu leo.
Nimekusamehe mwanangu.Mpango wa Kando Video

Mpango wa Kando Lyrics -  Gloria Muliro

Gloria Muliro Songs

Related Songs