Nyosha Mkono wako Lyrics - Frank Njuguna

Frank Njuguna swahili

Nyosha Mkono wako Lyrics

Nyosha mkono wako wa rehema niguze nipone
nyosha mkono wako wa rehema niguze niipone

Maadui zangu wananidhihakii, wanauliza Mungu wako yuko wapi
inuka ndani yangu, ujitukuze niguse eh baba nipone ooooh

Nyosha mkono wako wa rehema niguze nipone
nyosha mkono wako wa rehema niguze niipone

kwa kupigwa kwako Yesu mimi nimepona
ahadi zako niza kweli na milele
ulituma neno lako mimi nipone
niguze baba nipone

Nyosha mkono wako wa rehema niguze nipone
nyosha mkono wako wa rehema niguze niipone

Nyosha mkono wako wa rehema niguze nipone
nyosha mkono wako wa rehema niguze niipone

Nyosha Mkono wako Video