Ben Pol - Hiyo Ndio Mbaya Lyrics

Album: B the King
Released: 31 Jul 2025
iTunes Amazon Music

Lyrics

Nilijua utanifaa Maisha yangu yote mi nilikupa Umevunja moyo mpaka mifupa Ulichokifanya mwenzako najuta (Eeeh..)

Nilikupenda sana nikakuweka moyoni Mengi uliyofanya nikajifanya siyaoni Kurudi late na mitungi kichwani Kila siku visa tu na visirani

Mepenzi ya utumwa siyawezi acha mi niende zangu Nilichofunzwa mapenzi sio kupiga mwenzangu Onyesha wivu wa mapenzi kwa mwenzio Kama unampenda kweli

We unampenda ya hakupendi Hiyo ndo mbaya Akijifanya anakupenda sana Hiyo ndo mbaya

Kumbe mwenzako anakudanganya Hiyo ndo mbaya Alafu moyo utauma sana Hiyo ndo mbaya Mwisho wa siku mkibwagana  Hiyo ndo mbaya hiyo

Ah Tamimu hapa nikiwa na Ben Pol We meneja Sakio, weka

Katikati nione vumbi, bado sijaona Mwendo wa shisha na tungi, bado sijaona Wanangu huwa hatujivungi, bado sijaona Tumepagawa hatuyumbi, bado sijaona

Ua langu vipi? (Eeeh) Ua langu vipi? (Waaah) Tafuta wa kucheza naye  Pandisha ibilisi

Ua langu vipi? (Eeeh) Ua langu vipi? (Poa) Tafuta wa kucheza naye  Pandisha ibilisi

Aya timua vumbi timua, timua Timua timua timua, timua Aya timua vumbi timua, timua Katikati timua, timua

Weka mikono juu wote zungusha dadeki Kama una kichuguu waonyeshe ukipiga deki Ongeza vibe washa moto, washa moto Hili goma si la kitoto, si la kitoto Pita chocho kwa chocho, chocho kwa chocho Na tukawashe moto, tukawashe moto

Waonyeshe ulivyopagawa Akikushika ndo balaa Kama una mbinu za mida Komesha wanaume wadau

Mtu mzima najiweza Cheki navyoteleza Ngoma naipiga mwenyewe So siogopi kuicheza

Kajalewa anayumba Ndo zake dunga dunga Kuvizia wachumba Dawa zake zimedunda

Video

Ben Pol - HIYO NDIO MBAYA ft. Tamimu (Official Music Video)

Thumbnail for Hiyo Ndio Mbaya video
Loading...
In Queue
View Lyrics