Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
We ndo number one umenifana
Avandu we-
Moto kama burner
Ndo maana tunatoroka mateka kwa shetani
Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up
Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
--
--
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
--
Shetani abaki anastuka
Akiskika sauti kwa spika
Vile anashuka kwenye mizuka
--
Sifa inapanda Yesu anashuka
Tunafunika bila mashuka
Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up
Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
--
--
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe