Sifa Lyrics

Secret by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Secret Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Secret ni kupiga magoti
Magoti, magoti
Hio ndo secret
Secret secret


Jawabu la kila swali
Kwa maisha ni kama kupiga magoti
Tuwache kutegemea mitandao 
Ndio inatupa ripoti 
Ukitaka kuishi fiti lazima kupiga magoti




Iko moja secret ayaya
Na ni kupiga magoti ayaya
Mwambie Mola shida zako ayaya
Hey funga milango itafunguka
Itisha utakacho na utapata


Iko moja secret ayaya
Na ni kupiga magoti ayaya
Mwambie Mola shida zako ayaya
Hey funga milango itafunguka
Itisha utakacho na utapata






Yupo Mungu yeah yupo
Anasikia maombi yeah yupo
Yupo Mungu yeah yupo
Anajibu maombi yeah yupo


Yupo Mungu yeah yupo
Anasikia maombi yeah yupo
Yupo Mungu yeah yupo
Na anajibu maombi yeah yupo


Video