Nyimbo za kuabudu - Swahili Worship Songs
Read Morekuabudu refers to swahili worship songs. Here you will find a collection of holy gospel songs of worship sung in kiswahili. Get the full lyrics of nyimbo za kuabudu, watch video and listen to ibada songs #IbadaTakatifu. Katika kuabudu tunaonyesha mwenyezi Mungu kuwa tunamuheshimu, na kumtukuza mwenye enzi zote. Kuabudu ni zaidi ya uimbaji, unaweza kumwabudu na kumpa sifa mwenyezi wakati wowote. Tunapoishi maisha ya kumpendeza Mungu na kuandamana na neno lake. Katika sala Yesu Kristo ametufunza tuwe wanyenyekevu mbele za Mungu, ibada yetu inafaa iwe takatifu mbele za Mungu.