Sifa Lyrics

Umekuwa Nami by Jeremy Jeradi cover art

Jeremy Jeradi - Umekuwa Nami Lyrics

Artist:
Jeremy Jeradi
Album:
Umekuwa Nami - EP
Official Release:
14 Oct 2024

Lyrics

Intro
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe Ume niwezesha ×2
Hatakatika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee.
Hapa Nilipo Jinsi Nilivyo Niwewe umeniwezesha ×2


Verse 1
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi
Umekuwa nami ×2 Katika jangwaaa


Chorus
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ×4


Verse 2
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao,
Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee,
Huku Ruhusu Nifie Misri Uliniokoa na Farao
Hata Katika umaskini na Magonjwa, huku ruhusu ni teketee,
Huku Ruhusu Nifie Ushago Uliniokoa Na Farao,
Hata Katika Moto Mwingi Huku ruhusu Niteketee. [Katika jangwaa]


Chorus
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ×4


Bridge
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI...
[Instrumentalists]
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI...


Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami ×2


UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI...
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI
UMEKUWA NAMI, UMEKUWA NAMI...


[Audience]
Umekuwa Nami, umekuwa Nami
Umekuwa Nami, umekuwa Nami
Umekuwa Nami, umekuwa Nami
Katika Jangwa Kwenye Dhoruba Umekuwa Nami,
Zilipo Vuma Upepo na Mawimbi umekuwa Nami...


UMEKUWA NAMI! UMEKUWA NAMI!
[Celebration]


Video