Lyrics
[Chorus]
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Unayetenda ni wewe, wewe
Unayefanya ni wewe, wewe
Unayetenda ni wewe, wewe
Unayefanya ni wewe, wewe
[Verse 1]
Nimejaribu kuhesabu
Yale Bwana umetenda
Zimenishinda hesabu
Nimekubali mimi mjinga
Nimekosa majawabu
Kiasi gani unanipenda
Kumbe ukiniacha sekunde moja mimi
Ni nyama yao
Na baraka zako ni Pro Max
Zimejaa zinafurika
Haungoji nikate tamaa
Nikikuita unafika
Husubiri kikao cha kamati
Jambo lako kukamilika
Au ruhusa ya fulani
Ili ndio unitendee
[Pre-Chorus]
Na magumu yajaponifika
Nitaimba Hosanna, Amina
Na magumu yajaponifika
Nitaimba wimbo wa sifa
[Chorus]
(Baba) Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Unayetenda ni wewe, wewe
Unayefanya ni wewe, wewe
Unayetenda ni wewe, wewe
Unayefanya ni wewe, wewe
[Verse 2]
Upo upande wangu
Hata kipindi cha makosa yangu
Na leo naleta kwako sauti ya shukrani
Maana umenidekeza sana mimi wako last born
Na baraka zako ni Pro Max
Zimejaa zinafurika
Haungoji nikate tamaa
Nikikuita unafika
Husubiri kikao cha kamati
Jambo lako kukamilika
Au ruhusa ya fulani
Ili ndio unitendee
[Pre-Chorus]
Na magumu yajaponifika
Nitaimba Hosanna, Amina
Na magumu yajaponifika
Nitaimba wimbo wa sifa
[Chorus]
(Baba) Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Zipokee shukrani zangu Baba eeh
Unayetenda ni wewe, wewe
Unayefanya ni wewe, wewe
Unayetenda ni wewe, wewe
Unayefanya ni wewe, wewe