Lyrics
Kila kilicho hai kimsifu Bwana
Kila kilicho hai kimsifu Bwana
Kila kilicho hai kimsifu Bwana
Kila kilicho hai kimsifu Bwana
Kila aliye pumzi amsifu Bwana
Kila kilicho hai kimsifu Bwana
Navyo viumbe vyote vimsifu Bwana
Kila kilicho hai kimsifu Bwana
Tumpe sifa na heshima
Tumpe sifa na heshima
Tumpe sifa na heshima
Tumpe sifa na heshima
Tumpe sifa na heshima
Tumpe sifa na heshima
Tumpe sifa
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Nani anayeweza kutenda miujiza
Nani anayeweza kuponya magonjwa
Nani aliye jina linalovunja nira
Nani alinganishwe Hakuna kama Wewe
Nani anayeweza kutuweka huru
Nani anayeweza kututia nguvu
Nani anayeweza kufufua wafu
Nani alinganishwe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Ayee, Yesu Uinuliwe
Ayoyoyo, Yesu Uinuliwe
Tutakuchezea milele na milele, Uinuliwe
Tutakuchezea milele na milele Ubarikiwe
Tutakuchezea milele na milele Usumjudiwe
Tutakuchezea milele na milele Ubarikiwe
Tutakuchezea milele na milele, Uinuliwe
Tutakuchezea milele na milele Ubarikiwe
Tutakuchezea milele na milele Usifiwe