Lyrics
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
Baba yetu wa mbinguni, usifiwe
Jina lako litukuzwe, milele
Hakuna yeyote, Baba wetu ila wewe
Wewe wastahili sifa, ni wewe pekee
Mapenzi yako yafanyike utavyo
Hapa duniani kama mbinguni
Tummsifu, tumwabudu, Mungu wetu
Wewe wastahili sifa, ni wewe pekee
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
(We say)
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
Utupe leo, katuewetu, tusamehe
Kama vile twasamehe, wengine
Hakuna yeyote, Baba wetu, ila wewe
Wewe wastahili sifa, ni wewe pekee
Usitutie mashakani, utulinde
Kutokana na mkono wa muovu
Tummsifu, tumwabudu, Mungu wetu
Wewe wastahili sifa, ni wewe pekee
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
(We say)
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
(We say)
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
(We say)
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee
Baba, Mungu wa miungu
Yesu, mfaridi wangu, roho
Saidizi wangu wewe
Wastahili sifa zote
Ni wewe pekee