Lyrics
[Intro - Soloist 1]
Wapi umekuja na vigelegele na shangwe?
[Verse 1 - Soloist 1]
Maisha yangu ni mali yako Bwana,
Na vyote nilivyonavyo ni mali yako.
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee,
Naleta shukrani zangu kwako.
Maisha yangu ni mali yako Bwana,
Na vyote nilivyonavyo ni mali yako.
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee,
Naleta shukrani zangu kwako.
[Chorus - Choir & Soloist 1]
Maisha yangu ni mali yako Bwana,
Na vyote nilivyonavyo ni mali yako.
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee,
Naleta shukrani zangu kwako. (Repeat)
[Verse 2 - Goodluck Msuya]
Elimu niliyonayo ni mali yako,
Na kazi niliyonayo ni mali yako.
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee,
Naleta shukrani zangu kwako.
Watoto niliyonao ni mali yako,
Na fedha nilizonazo ni mali yako Baba.
Mimi sina cha kujisifu... Eeh...
Naleta shukrani zangu...
[Chorus - Choir & Goodluck Msuya]
Maisha yangu ni mali yako Bwana,
Na vyote nilivyonavyo ni mali yako.
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee,
Naleta shukrani zangu kwako. (Repeat)
[Bridge 1 - Choir]
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Mimi sina (Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee)
Naleta shukrani zangu kwako.
[Bridge 2 - Choir & Goodluck Msuya]
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Mimi sina (Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee)
Naleta shukrani zangu kwako.
[Dance Break / Instrumental]
[Bridge 3 - Choir & Goodluck Msuya]
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Mimi sina (Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee)
Naleta shukrani zangu kwako. (Repeat)
[Spoken Word / Worship - Goodluck Msuya]
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu...
Naleta shukrani... shukrani zangu kidogo, tuzipokee Bwana.
Kwa uzima huu, kwa afya hii, kwa kazi hii, kwa maisha haya, kwa pumzi niliyonayo, kwa uhai huu Bwana...
Bwana na pesa ni wewe umenipa, Bwana na watoto ni wewe umenipa.
Kwanini nijivune? Kwanini nijivune?
Vyote ni vyako... vyote ni vyako... vyote ni vyako... vyote ni vyako.
Bwana chukua... chukua... chukua... chukua...
Yesu najinyenyekeza, watoto umenipa najinyenyekeza.
Kwanini nijivune? Kazi umenipa najinyenyekeza.
Kwanini nijivune? Elimu umenipa najinyenyekeza.
Kwanini nijivune? Bwana, Bwana, Bwana...
Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu...
Naleta shukrani, naleta shukrani, naleta shukrani...
Mimi sina... hata umaarufu huu Bwana sio chochote mbele zako.
Umaarufu wangu sio chochote.
Umaarufu wangu sio chochote.
Sina, sina... hata neema hii ni wewe umenipa.
Neema hii ni wewe umenipa.
Kipaji hiki ni wewe umenipa.
Kwanini nijivune? Kwanini nijiinue?
Kama unaamini umepata kwa neema, mwambie tu...
[Outro - Choir & Goodluck Msuya]
Moyo wangu (Moyo wangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Maisha yangu (Maisha yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Huduma yangu (Huduma yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Elimu yangu (Elimu yangu)
Naleta kwako (Naleta kwako)
Mimi sina (Mimi sina cha kujisifu, Ee Yesu ee)
Naleta shukrani zangu kwako. (Repeat)
Video
Meaning & Inspiration
Maisha Yangu, performed by Mtoni Evangelical Choir with Goodluck Gozbert, is a worship declaration built on one confession: life and everything in it belongs to God. Education, work, children, money, even fame and talent are received, not earned. The voices keep returning to “mimi sina cha kujisifu” — nothing to boast about — and “naleta shukrani zangu” — bringing thanks. The song frames gratitude as an offering rather than a feeling. It echoes the scriptural question about having anything that was not given, and the call to present one’s life as a living sacrifice. The bridge narrows the focus: heart, life, ministry, and learning are all handed back to God. The spoken section deepens this by acknowledging that even grace and ability are gifts, so pride has no ground. The joyful dance and vigelegele suggest that surrender is not mournful. It is celebratory worship, returning ownership of everything to the One who gave it.