Lyrics
Intro
iweje ninge ahiri
wakati bado Alfajiri
kikubwa ujasiri nakuamini
kuna mchana na jioni
Verse 1
niliko toka ni mbali, ninapokwenda sipajui
barabara haipo swari imejawa na madui
hujafa huja umbika, atakaye nizika simjui
n'nacho miliki ni huu mwili tu, na alama ya ndui
kauli ni ile ile, no money, no honey
so, na chill, na wait for better days comin'
haya maisha bwana, yako very very funny
hayaitaji uwe na asira man, you need to be charming
gheto hakuna jiko, hakuna fridge
manake ni mlo mjona na maji mengi ya baridi
asante kwa kila kitu Mungu, siwezi ku kufukuru
nacho amini, utanipa tu, sikuyote sio ndururu
Chorus
iweje ninge ahiri
wakati bado Alfajiri
kikubwa ujasiri nakuamini
kuna mchana na jioni
Bado na ngoja
Bado na bado na ngoja
Bado na Ngoja
Nasubiri wakati wangu namimi
Bado na ngoja
Bado na bado na ngoja
Bado na Ngoja
sita choka kusubiri
Verse 2
Life is never easy i know
You hustle to get a piece And glow
Focus on your dreams and never let it go!
Never listen to the haters let ‘em low!
Malango mana lenganya manga,
manga mana lambya ú anyanga
alya a milanga abangya
bikyanga cwa lala ngyala na Bohangya
Asangyala mbaka cha mbalaka m’bala cha Mihangya,
Na hangya!
Ombe talé Byaombe, ú útondola
Na chobe menge menge ú olombola
Hibella bya ale, bya mashinbúla
Bishicwe ibya manga na lúndúbúla, pelo
Bishi úbúlúte, na bashi ú úlúte
Na bashi úlambú’e, kabawe mwabyú’e
yobe sowakelwa yashi hibú’a
Makala machimina mabú lúbú’a
Chorus
iweje ninge ahiri
wakati bado Alfajiri
kikubwa ujasiri nakuamini
kuna mchana na jioni
Bado na ngoja
Bado na bado na ngoja
Bado na Ngoja
Nasubiri wakati wangu namimi
Bado na ngoja
Bado na bado na ngoja
Bado na Ngoja
sita choka kusubiri