Joel Lwaga - Olodumare Lyrics

Contents: Song Information
  • Song Title: Olodumare
  • Album: Olodumare - Single
  • Artist: Joel Lwaga
  • Released On: 11 Oct 2024
  • Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

Olodumare Lyrics

Hey papa, Olodumare my one and only
The giver of life equals to none
Hapa, nmesimama 'cause uko na mimi,
You never let me go
Mipaka, yangu umeitanulia mbali
Even sky sio limit kwa hii kibali
Hata, haters wanashangilia kwa ndani
Nmewa-win now

Chorus
Sina kingine mimi najivunia, zaidi yako Baba
Ndo maana niko tuli nmetulia, we hunaga baya
Hata wale wanaonionea husuda, shabaha yao mbaya
Watanpataje mwamba umenifunika
bure wata-tire
'cause I know that (you got me, 'way you got me(Oohhh)

You got me, 'way you got me, Baba,
You got me, 'way you got me,
That's why I'm never never never falling down)× 2

N'kiteleza baba unaniinua, Hujanitupa wala hujanijutia.
Kama ni toba zimejaa gunia,hapa ni kwamba tu umenihurumia.
Ningekulipa nini kama ungetaka, nilipe jema moja moja.
Maana hata hii pumzi nnayoivuta, hakuna dola ingetosha.

Sina kingine mimi najivunia, zaidi yako Baba
Ndo maana niko tuli nmetulia, we hunaga baya
Hata wale wanaonionea husuda, shabaha yao mbaya
Watanpataje mwamba umenifunika
bure wata-tire

'cause I know that (you got me, 'way you got me(Oohhh)
You got me, 'way you got me, Baba,
You got me, 'way you got me,
That's why I'm never never never falling down)
(repeat *3)

Never never never falling down
Forever Hosanna ×2
That's why I am never never never falling down


Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)

Joel Lwaga Olodumare

Joel Lwaga Songs

Related Songs