Joel Lwaga - Nitumie Lyrics
- Song Title: Nitumie
- Album: Thamani - EP
- Artist: Joel Lwaga
- Released On: 07 Aug 2020
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Maisha yangu, moyo wangu
Nakutolea wewe tu
Uhai huu ni wako tu
Ni kwa neema yako
Maisha yangu, moyo wangu
Nakutolea wewe tu
Uhai huu ni wako tu
Ni kwa neema yako tu
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Mimi dhabihu hemani mwako ee Bwana
Unitumie kwa ajili yako wewe tu
Mimi dhabihu hemani mwako ee Bwana
Unitumie kwa ajili yako wewe tu
Bwana mimi wako
Chombo mikononi mwako
Mi sadaka yako
Tayari kwa ajili yako
Bwana mimi wako
Chombo mikononi mwako
Mi sadaka yako
Tayari kwa ajili yako
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana