MLIMA Lyrics

Joel Lwaga swahili

Chorus:
Hakuna Mlima usioweza kuuondoa
Hakuna Bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna Jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna Giza usiloweza kuliangaza

MLIMA Video

Buy/Download Audio

MLIMA Lyrics

Hakuna Mlima usioweza kuuondoa
Hakuna Bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna Jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna Giza usiloweza kuliangaza

Hakuna Mlima usioweza kuuondoa
Hakuna Bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna Jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna Giza usiloweza kuliangaza

Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh

Hakuna Mlima usioweza kuuondoa
Hakuna Bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna Jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna Giza usiloweza kuliangaza

Hakuna Mlima usioweza kuuondoa
Hakuna Bonde usiloweza kusawazisha
Hakuna Jangwa usiloweza kulinyeshea
Hakuna Giza usiloweza kuliangaza

Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh

Je, kuna Neno kuna neno
Kuna neno Usiloliweza
Je, kuna Neno kuna neno
Kuna Neno Usiloliweza
Je, kuna Neno kuna neno
Kuna neno Usiloliweza
Je, kuna Neno kuna neno
Kuna Neno Usiloliweza

Hakuna Neno lolote
Hakuna Jambo lolote
Hakuna Neno lolote
Hakuna Jambo lolote
Usiloliweza Usiloliweza
Usiloliweza Usiloliweza
Usiloliweza Usiloliweza
Usiloliweza Usiloliweza

Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh
Eeeh Yesu Eeeh