Joel Lwaga - Wasamehe Lyrics
- Song Title: Wasamehe (feat. Walter Chilambo)
- Album: Good To Go
- Artist: Joel Lwaga
- Released On: 24 Nov 2023
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music

wasaemehe usilipise ubaya kwa ubaya wasamehe
usisubiri waombe msamaha wasamehe
amani yako ndio ya maana wasamehe
hao ni wanadamu
Kama hujajua kusamehea sio unyonge
ama ishara ya udhaifu ila ni ujasiri
maana nikuonyesha yale yote wanayokutendea
majeraha na maumivu haya yatakuathiri
si kwa ajili yao ni kwa ajili ya moyo wako
una utulisha mizigo usiostahili
amani yako ni muhimu kuliko hayo
wasaemehe usilipise ubaya kwa ubaya wasamehe
usisubiri waombe msamaha wasamehe
amani yako ndio ya maana wasamehe
hao ni wanadamuu
Moyo ukijaa mafundo mafundo unajiumiza mwenyewe
huoni hasara na mauivu umebeba
huoni ukifungua upendo upendo unajitibu mwenyewe
haujui furaha ni dawa ni dawa
samehea mara sabini saba saba sabini
mfano Yesu msalabani alivyotusamehea we na mimi
si kwa ajili yao ni kwa ajili ya moyo wako
unautuli mizigo usiostahili